Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa KDC, Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Musa Mushi (40), kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa kutapeli ...
Arusha. Zikiwa zimepita siku 17 tangu agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba la kurejeshwa mali za mfanyabiashara wa Arusha, Josephine Shirima, mali hizo bado hazijarudishwa huku Jeshi la Polisi ...
Viongozi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakiwa ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Kongo waliokuja nchini kwa ajili ya kuangalia namna ya mahindi yanayohifadhiwa kabla ya kuanza taratibu za ...
Dar es Salaam. Dosari za kisheria katika hati ya kiapo cha rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kimesababisha shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Inspekta ...
Dar es Salaam. Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro imependekeza Sheria ya Hifadhi ya Ngorongoro ifanyiwe marekebisho ili kuondoa utaratibu wa matumizi mseto ya ardhi.
Marekani. Nyota wa muziki duniani, Aliaune Damala maarufu Akon amesema Afrika ni sehemu salama kwa malezi ya watoto kutokana na mfumo wa maisha na nidhamu iliyojengwa. Ikumbukwe Akon alizaliwa na ...
Biashara za familia ni sehemu muhimu sana ya uchumi katika nchi nyingi duniani, na Tanzania pia ni miongoni mwa nchi hizo. Kuanzia maduka madogo ya rejareja, biashara za usafirishaji, kilimo, ujenzi ...
Chunya. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, imeweka mikakati madhubuti ya kuongeza uzalishaji wa zao la ufuta kutoka kilo milioni 2.4 zilizozalishwa msimu uliopita hadi kufikia kilo milioni ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza katika mkutano wa hadhara Nyanguge, Wilayani Magu mkoani Mwanza. Magu. Mikopo ya kausha damu na ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga-Anyanga, leo Jumatano, Machi 11, 2026, Ikulu ya Dodoma. Dar es Salaam. Rais Samia ...
Tanga. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdallah, amemsimamisha kazi Meneja wa Uwanja wa CCM Mkwakwani, Akida Machai, kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza ipasavyo majukumu ...
Dar es Salaam. Siku zote ubunifu huleta upekee. Hilo linajionesha kwa Jean Jacques Ndjoli mbunifu wa picha kutokea jijini Paris, ambaye amejipa utofauti kwa kupiga picha katika maeneo ya kipekee. Jean ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results