Lakini unajua kuwa wali na chapati ndio vyakula vyenye wanga kwa wingi. Kulingana na ripoti ya utafiti ya Baraza la Utafiti wa Kimatibabu la India (IACMR), kupunguza kiwango cha wanga katika lishe ...