Mhudumu wa gari la kubebea wagonjwa aliyenaswa na kamera nchini Israeli ,alizitemea mate picha za Yesu alipotembelea nyumba za wakristo kuwafanyia kufanya vipimo vya corona amefutwa kazi. Daktari huyo ...
Timu ya wanasayansi wa Italia walisema waliweza kwa usahihi kuitambua tarehe ya Sanda ya Turin, na kwamba inaonyesha kuwa ilikuwa ni ya wakati wa Kristo. Utafiti huu, uliochapishwa hapo awali mnamo ...
Kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis, amewahimiza waumini kutopoteza tumaini kufuatia janga la muda mrefu la virusi vya corona. Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani ...
Waumini wa kikristo duniani wanasherehekea sikukuu ya Krismasi leo inayokumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Sherehe za mwaka huu zinafanyika chini ya kiwingu cha mizozo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results