Katika nusu ya pili ya karne ya 20, wanadamu waliishi na hofu ya uwezekano wa maangamizi makubwa kutokana na silaha za nyuklia. Hofu ya kutokea makabiliano ya silaha za nyuklia kati ya Marekani na ...
Nihon Hidankyo, kundi lililoshinda Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka huu, linasema litaiomba serikali ya Japani kujiunga na mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Nyuklia. Wenyeviti wenza watatu wa kundi ...
Zaidi ya wanafunzi 300 na waalimu 12 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha, katika shule ya Kikatoliki ya Mtakatifu ...
Marekani imetishia kukatiza utoaji wa taarifa za kijasusi na usambazaji wa silaha kwa Ukraine kuishinikiza kukubaliana na ...
Vadym Skaryevsky, kamanda wa vikosi vya mifumo isiyokuwa na rubani ya jeshi la Ukraine, amedai kwamba Ukraine imeunda silaha ya leza. Kabla ya tangazo la kamanda wa Ukraine, hakukuwa na taarifa zozote ...
Tuzo ya Amani ya Nobel ilitunukiwa Ijumaa hii, Oktoba 11 kwa shirika la Kijapani Nihon Hidankyo, ambalo linawaleta pamoja manusura wa mashambulizi ya nyuklia ya Hiroshima na Nagasaki mnamo mwaka 1945.
Mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika ametupilia mbali madai kuwa kunafanyika mauaji ya halaiki kaskazini mwa Nigeria.